Bani Israil 17:65 ان عبادي ليس لك عليهم سلطان وكفى بربك وكيلا ٦٥
إِنَّ
عِبَادِي
لَيۡسَ
لَكَ
عَلَيۡهِمۡ
سُلۡطَٰنٞۚ
وَكَفَىٰ
بِرَبِّكَ
وَكِيلٗا
٦٥
Hakika wewe huna mamlaka juu ya waja wangu. Na Mola wako Mlezi anatosha kuwa ni wa kutegemewa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
«Hakika waja wangu Waumini waliyotakaswa ambao walinitii, wewe huna uwezo wa kuwapoteza.» Na inatosha kuwa Mola wako , ewe Mtume, kuwa Ndiye Mwenye kuwalinda na kuwahifadhi Waumini kutokana na vitimbi vya Shetani na udanganyifu wake.
«Hakika waja wangu Waumini waliyotakaswa ambao walinitii, wewe huna uwezo wa kuwapoteza.» Na inatosha kuwa Mola wako , ewe Mtume, kuwa Ndiye Mwenye ku…